📖 Nyanya

Maandalizi na utunzaji wa kitalu

Practical farming lessons on Maandalizi na utunzaji wa kitalu.

48 lessons in this section

1

Maandalizi ya kitalu

Wakati wa maandalizi ya shamba kitalu pia kinapaswa kua kinaandaliwa. KilimoHub tunashauri kutumia seedling tray na udongo wa kupandia ili upate miche bora zaidi na kupunguza upotevu wa miche kutokana na magonjwa. Hii itaokoa gharama katika uzalishaji wako
2

3

4

5

6

7

8

9

Mahitaji ya kitalu

Kitalu kinahitaji vitu vifuatavyo • Seedling trays kulingana na idadi ya mbegu (gram 1 ya mbegu za nyanya ina wastani wa mbegu 300-350) • Udongo wa kitalu (pit most) • Starter fertilizer (easygrow starter) • Dawa za ukungu (Ridomilgold na farmguard)
10

11

12

13

14

15

16

17

Hatua za maandalizi ya kitalu

• Changanya pit most kidogo na maji ili ulowane kidogo changanya vizuri kisha jaza kwenye tray NB: usishindilie sana • Weka vishimo vya kuwekea mbegu visiwe virefu sana mbegu iwe kina cha mara mbili au tatu ya ukubwa wake • Mwagia maji kwa kutumia spray, unaweza kutumia bomba la kupulizia dawa ambalo halijawahi kutumika kupigia dawa MAMBO YA KUZINGATIA • Weka tray zako kwenye kichanja ambacho kip…
18

19

20

21

22

23

24

25

Ratiba ya umwagiliaji, madawa na mbolea

• Mwagia kulingana na hali ya hewa na kiwango cha unyevu kilichopo kwenye kitalu muhimu ni kuhakikisha kitalu kina unyevu, ila kisiwe kimetota(usimwagie maji mengi sana) Muhimu: Epuka kumwagia wakati wa jioni kwani unyevu juu ya kitalu hauto kauka haraka • Piga dawa za ukungu tena baada ya miche angalau kufika siku 7 hadi 10 (tumia nusu dozi ya ile iliyo andikwa kwenye maelezo ya dawa) rudia tena…
26

27

28

29

30

31

32

33

Magonjwa na wadudu kitaluni

Miche michanga ya nyanya (seedlings) huwa dhaifu sana na hupatwa na magonjwa kadhaa, hasa kwenye kitalu au baada ya kupandikiza. Hapa ni magonjwa muhimu yanayoathiri miche ya nyanya. ________________________________________ 1. Kuoza kwa Miche (Damping-off) Dalili • Miche huanguka ghafla • Shina karibu na udongo huwa jembamba na kuoza • Miche hufa haraka sana Sababu • Fangasi kama Pythium, Rhizoct…
34

35

36

37

38

39

40

41

Upandaji wa miche

1. Wakati wa kupanda • Pandikiza miche ikiwa na siku 21–28 (Tunashauri isiwe zaidi ya siku 30). 2. Mambo ya kuhakikisha kabla ya kupanda • Mfumo wa umwagiliaji uwe tayari. • Samadi na chokaa ya kilimo (kama udongo una pH ndogo) ziwe zimewekwa. • Shamba liwe safi bila magugu. • Ni vizuri kupima udongo kwanza. 3. Jinsi ya kupanda • Lowanisha udongo kwa kumwagia maji kidogo kabla ya kupanda. • Panda…
42

43

44

45

46

47

48

📱 Get the full lessons in the app

The KilimoHub app includes videos, images, and interactive content not shown here. Download free on Android.

Download KilimoHub

🌱 More farming topics

Explore all our courses covering planting, pest control, irrigation, harvesting and more.

Back to Nyanya