48 lessons in this section
Nyanya zinahitaji virutubisho vya kutosha ili kutoa mavuno mengi, hasa nyanya chotara (hybrid). Aina za Mbolea 1. Mbolea asili – kama samadi ya ng’ombe 2. Mbolea za viwandani ________________________________________ 1. Mbolea Asili (Samadi) • Tumia samadi ya ng’ombe iliyooza vizuri. • Inaongeza rutuba na afya ya udongo. Jinsi ya kuweka • Weka viganja viwili kwenye shimo la kupandia kisha funika k…

Fuata ratiba hii ili kupata matokeo mazuri katika zao lako

Tumia mbolea zenye kiwango kikubwa cha phosphorus, kilimoHub tunashauri • Tumia DAP au Yaramila Otesha • Weka siku ya 7 baada ya kupanda miche

Katika hatua hii tunatumia mbolea zenye kiwango kikubwa cha nitrogen. kilimoHub tunashauri • Mbolea ya nitrabor au NPK 17 au Microbe mbogamboga au Yara Winner • Weka siku 12–14 baada ya mbolea ya kupandia • Kiasi: gram 10 kwa mche Tunashauri sana uweke nitrabor ⚠️ Epuka kutumia Urea (ina nitrogen nyingi sana).

• Siku 24–28: Nitrabor au Yara Calcinit gram 10 kwa mche • Siku 38–42: Changanya Nitrabor + NPK17 au winner (1:1) gram 10 kwa mche • Siku 52–58: Changanya Nitrabor + NPK17 au winner (1:1) gram 10 kwa mche • Siku 66–70: Kresta K gram 10 kwa mche au winner au npk 17 Baada ya hapo rudia kila baada ya siku 14 mpaka uvunaji uishe.

• Hakikisha udongo una unyevu wa kutosha muda wote • Weka mbolea cm 5–10 kutoka kwenye shina ili kuzuia kuchoma mmea. Epuka kutumia mbolea ya urea kwenye zao la nyanya kwani itafanya mmea kua na majani mengi na matunda machache

📱 Get the full lessons in the app
The KilimoHub app includes videos, images, and interactive content not shown here. Download free on Android.
Download KilimoHub
🌱 More farming topics
Explore all our courses covering planting, pest control, irrigation, harvesting and more.
Back to Nyanya