📖 Nyanya

Uchaguzi wa eneo

Practical farming lessons on Uchaguzi wa eneo.

40 lessons in this section

1

Uchaguzi wa eneo

Katika uchaguzi wa eneo tunaangalia mambo muhimu yafuatayo: -
2

3

4

5

6

7

8

9

Hali ya hewa

Nyanya hustawi vizuri zaidi kwenye mazingira ya joto la wastani kuanzia nyuzi joto 18 hadi 27 sentigredi.Mvua nyingi husababisha mlipuko wa magojwa ya ukungu kama vile baka jani chelewa.
10

11

12

13

14

15

16

17

Aina na hali ya udongo

Nyanya hustawi kwenye aina zote za udongo kuanzia udongo wa kichanga, mweupe wa tifutifu hadi udongo wa mfinyazi,ili mradi uwe na mboji ya kutosha na usiosimamisha au tuamisha maji. Pia uwe na uchachu wa wastani yaani pH 6.0 hadi 7.0. NB: Ni muhimu kupima udongo wako kujua aina ya udongo uliyonayo na virutubisho, fika ofisi ya kata yako ukutane na afisa kilimo kwa msaada huu.
18

19

20

21

22

23

24

25

Muinuko

Nyanya hustawi vizuri kutoka sehemu zenye mwinuko wa kati ya mita hadi kwenye mwinuko wa mita 399 hadi 1499 kutoka usawa wa bahari. Yaani sehemu zote zisizo milimani mfano matombo morogoro na maeneo yote yenye tabia za maeneo hayo.
26

27

28

29

30

31

32

33

Historia ya eneo

Pia kabla ya kulima nyanya ni vizuri kujua historia ya eneo hilo kama je limeshawahi kulimwa mazao jamii ya nyanya? Kama hoho, pilipili na nyanya zenyewe ili kujua ni changamoto zipi zipo katika eneo hilo kabla ya kuanza kulima. Hii itakusaidia katika uchaguzi wa madawa pamoja na mbegu kulinana nae neo lako.
34

35

36

37

38

39

40

📱 Get the full lessons in the app

The KilimoHub app includes videos, images, and interactive content not shown here. Download free on Android.

Download KilimoHub

🌱 More farming topics

Explore all our courses covering planting, pest control, irrigation, harvesting and more.

Back to Nyanya